Rafiki tuifanyie kazi mambo haya na tutazidi kuwa bora kila siku kwenye maisha yetu. Rafiki yako, Maureen Kemei. kemeimaureen7@gmail.com
Umuhimu Wa Kupitia Magumu Kwenye Maisha.
Rafiki yangu mpendwa dunia inakwenda kwa namna yake yenyewe hivyo matamanio yetu inaweza isiende kama tunavyotarajia. Hapa kuna njia tano za kutuwezesha kukabiliana na magumu kwenye maisha. Hatua ya kuchukua, rafiki jambo lolote linapotokea jiulize ni zuri au ni baya, naweza kuliathiri au siwezi kama huwezi achana nalo. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Njia 15 Za Kutumia Falsafa Ustoa Kuboresha Mahusiano Yetu Na Wengine.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini ikiwa unataka kuboresha mahusiano yako na wengine, falsafa ya ustoa inaweza kuwa mwanga mzuri. Hapa chini mna njia kadhaa unavyoweza kuitumia. Chukua hatua, rafiki tutakuwa bora na tutakuwa na furaha pale tu tutakapokuwa na falsafa ya ustoa. Rafiki yako, Maureen Kemei .
Kwa Nini Watu Huchagua Raha Ya Muda Mfupi Badala Ya Mafanikio Ya Muda Mrefu?
Swali hili linaakisi changamoto ya kisaikolojia na kijamii inayowakumba watu wengi. Kuna sababu kadhaa kwa nini watu huchagua raha ya muda mfupi badala ya mafanikio ya muda mrefu: Hata hivyo, mafanikio ya muda mrefu yanahitaji uvumilivu, nidhamu, na uwezo wa kujizuia—mambo ambayo yanaweza kujengwa kwa mafunzo na tabia sahihi. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Jinsi Ya Kuongea Na Watu Uvae Viatu.
Rafiki kabla hujajaribu kuuza chochote kwa mtu, jiulize kama ningekuwa mimi ndiye mteja, ningetaka kuskia nini? Hapo ndipo safari ya mauzo ya kweli inaanza, kwa kuvaa viatu vya mteja. Chukua hatua: mteja hanunui bidhaa, ananunua suluhisho. Ili kuuza kwa mafanikio, vaa viatu vyake, uone kwa macho yake, na usikie kwa masikio yake. Usiuze tu, saidia.… Continue reading Jinsi Ya Kuongea Na Watu Uvae Viatu.
Njia 7 Za Kuondokana Na Ukomo Wa Akili (Mental Limitations).
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kupunguza ukomo wa akili (mental limitations) kunahusiana na kuondoa imani, mawazo, au mitazamo inayokuzuia kufikia uwezo wako kamili. Hapa kuna njia 7 madhubuti za kufanya hivyo: Mfano: “Siwezi kufanya hivi”, “Mimi si mzuri vya kutosha”, “Niliwahi kushindwa” Hatua ya kuchukua: Andika imani hizo. Jiulize: “Je, hii ni… Continue reading Njia 7 Za Kuondokana Na Ukomo Wa Akili (Mental Limitations).
Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Sales Like Crazy By Sabri Suby.
Rafiki yangu mpendwa kitabu hiki ni mwongozo wenye nguvu kwa mtu yeyote anayetaka kuongeza mauzo kwa njia ya mtandao. Kinafundisha mbinu halisi za uuzaji wa kijidali zinazoweza kutumika mara moja. Hapa kuna mambo kumi ya kujifunza na kufanyia kazi. Chukua hatua, kwa kuzingatia mambo haya kumi na kufanyia kazi utaweza kupata wateja tarajiwa, kufanya mauzo… Continue reading Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Sales Like Crazy By Sabri Suby.
Mambo 20 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Tano Za Juma Na Kocha Makirita Amani.
Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze kuhusu maisha na mafanikio kutoka kitabu hiki kizuri. Chukua hatua, kwa kufanyia kazi mambo 20 utaweza kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako na kupata mafanikio unayoyataka kwenye maisha yako. Rafiki yako, Maureen Kemei .
Mambo Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Retire Before Mam And Dad Na Rob Berger.
Rafiki karibu kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kipekee wa kifedha kwa mtu yeyote anayetaka kupata uhuru wa kifedha mapema, kabla hata ya wazazi wao kustaafu. Hapa kuna mambo makuu ya kujifunza kutoka kitabu hiki: Chukua hatua. Uhuru wa kifedha si kwa matajiri tu, ni kwa mtu yeyote aliye tayari kuchukua hatua ndogo leo kwa ajili… Continue reading Mambo Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Retire Before Mam And Dad Na Rob Berger.
Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Quit Like A Millionaire Na Kristy Shen Na Bryce Leung.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze mambo kumi ya kufanyia kazi kama tunataka kufikia uhuru wa kifedha. Kwa kupitia njia isiyo ya kawaida na kuishi maisha ya kujitegemea kifedha. Chukua hatua rafiki yangu kwa kufuata mambo huu na kufanyia kazi tutaweza kufikia uhuru wa kifedha. Waandishi hao wawili wa kitabu hiki wamesema kuwa utajiri sio… Continue reading Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Quit Like A Millionaire Na Kristy Shen Na Bryce Leung.