Siri Ya Kuvuka Vikwazo.

Rafiki yangu mpendwa waliofika mbali waliamua kutokuogopa kushindwa. Wao wanajaribu hata kama wanashindwa. Mafanikio ni ung’ang’anizi. Mambo yakuzingazia ili kuvuka vikwazo. Kile nimejifunza, kujaribu mara nyingi utaishia kwenye kupata matokeo. Kushindwa ni sehemu ya ushindi lakini ukiendelea kujaribu mara nyingi. Rafiki yako, Maureen Kemei

Mambo Muhimu Ambayo Nimejifunza Kuhusu Nidhamu Ya Muda Na Utekelezaji.

Rafiki yangu mpendwa muda una ukomo, muda ni sawa na kuna wanaofanikiwa na wasiofanikiwa. Kuwe na nidhamu ya muda, weka vipaumbele vyako hicho unachokifanya kinachangiaje kwenye malengo yako. Kama hauwezi kutawala maisha yako hauwezi kufanikiwa . Wengi hawafanyi kwa ufanisi na kuvipa muda vile vyenye vipaumbele. Weka tija kwenye vile vya msingi. Achana na kukimbilia… Continue reading Mambo Muhimu Ambayo Nimejifunza Kuhusu Nidhamu Ya Muda Na Utekelezaji.