Njia 7 Za Kuondokana Na Ukomo Wa Akili (Mental Limitations).

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kupunguza ukomo wa akili (mental limitations) kunahusiana na kuondoa imani, mawazo, au mitazamo inayokuzuia kufikia uwezo wako kamili. Hapa kuna njia 7 madhubuti za kufanya hivyo: Mfano: “Siwezi kufanya hivi”, “Mimi si mzuri vya kutosha”, “Niliwahi kushindwa” Hatua ya kuchukua: Andika imani hizo. Jiulize: “Je, hii ni… Continue reading Njia 7 Za Kuondokana Na Ukomo Wa Akili (Mental Limitations).

Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Sales Like Crazy By Sabri Suby.

Rafiki yangu mpendwa kitabu hiki ni mwongozo wenye nguvu kwa mtu yeyote anayetaka kuongeza mauzo kwa njia ya mtandao. Kinafundisha mbinu halisi za uuzaji wa kijidali zinazoweza kutumika mara moja. Hapa kuna mambo kumi ya kujifunza na kufanyia kazi. Chukua hatua, kwa kuzingatia mambo haya kumi na kufanyia kazi utaweza kupata wateja tarajiwa, kufanya mauzo… Continue reading Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Sales Like Crazy By Sabri Suby.

Mambo Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Retire Before Mam And Dad Na Rob Berger.

Rafiki karibu kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kipekee wa kifedha kwa mtu yeyote anayetaka kupata uhuru wa kifedha mapema, kabla hata ya wazazi wao kustaafu. Hapa kuna mambo makuu ya kujifunza kutoka kitabu hiki: Chukua hatua. Uhuru wa kifedha si kwa matajiri tu, ni kwa mtu yeyote aliye tayari kuchukua hatua ndogo leo kwa ajili… Continue reading Mambo Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Retire Before Mam And Dad Na Rob Berger.

Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Quit Like A Millionaire Na Kristy Shen Na Bryce Leung.

Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze mambo kumi ya kufanyia kazi kama tunataka kufikia uhuru wa kifedha. Kwa kupitia njia isiyo ya kawaida na kuishi maisha ya kujitegemea kifedha. Chukua hatua rafiki yangu kwa kufuata mambo huu na kufanyia kazi tutaweza kufikia uhuru wa kifedha. Waandishi hao wawili wa kitabu hiki wamesema kuwa utajiri sio… Continue reading Mambo 10 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Quit Like A Millionaire Na Kristy Shen Na Bryce Leung.

Sifa 10 Za Kuangalia Unapomwajiri Mtu Wa Mauzo.

Rafiki yangu mpendwa kuajiri mtu wa mauzo ni hatua muhimu kwa mafanikio ya biashara yako. Hapa kuna sifa za msingi unazopaswa kuzingatia; Kwa kuzingatia sifa hizi utaweza kupata mtu sahihi wa kufanya mauzo na kuweza kushawishi wateja kukamilisha mauzo. Rafiki yako, Maureen Kemei.

Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Rafiki yangu wanasema ni kwenye muda pekee ndipo penye demokrasia ya kweli duniani. Ndiyo kitu pekee ambacho tumepewa kwa usawa. Kwa kuwa tumepewa kwa usawa, ila wapo ambao wanafanya makubwa sana kwenye muda huo huo, ina maana kuna vitu wanafanya kwa utofauti. Dr Kocha Makitita Amani anasema kuwa siri kuu ya kutumia muda vizuri ni… Continue reading Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.

Rafiki yangu mpendwa kazi ni asili ya wanadamu. Siyo adhabu, kazi ni zawadi toka kwa Mungu, mtu asiyetaka kufanya kazi na asile chakula. Kazi bora zaidi kuliko zingine ni ile ambayo unaifanya. Fikra na mtazamo wako ndiyo kazi bora unayoifanya. Mambo kumi kuhusu kazi ni kama yafuatayo; Chukua hatua rafiki yangu tunapaswa kupenda kufanya kazi… Continue reading Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.