Mambo 8 Ya Kuzingatia Unapotengeneza Bajeti.

Rafiki mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kujifunza kuhusu namna ya kuweka bajeti ni jambo la kutilia maanani kwenye maisha. Rafiki kwanza bajeti ni mpangilio wa kipato na matumizi kwa kipindi fulani. Kuna mitazamo potofu kuhusu bajeti kama kufikiri kuwa bajeti inabana, ni kwa matajiri, kuwa mtu unajitaji kuwa na elimu ya juu sana, kuwa… Continue reading Mambo 8 Ya Kuzingatia Unapotengeneza Bajeti.

Kauli 10 Chanya Ya Mafanikio Ya Kujiambia Kila Siku.

Rafiki yangu mpendwa karibu leo tujitamkie kauli kumi chanya ya mafanikio ambazo zinaelekeza fikra kwenye malengo, zinapunguza mawazo hasi,zinaongeza motisha ya kuchukua hatua, zinaimarisha imani binafsi, na pia zinajenga nidhamu ya muda mrefu. Hizi ni kauli 10 chanya tunazoweza kujitamkia kila siku. Hatua ya kuchukua, kaulia chanya ni kama ramani ya akili, lakini safari yenyewe… Continue reading Kauli 10 Chanya Ya Mafanikio Ya Kujiambia Kila Siku.

Njia Ya kuweza Kuitawala Siku Yako.

Rafiki kwa mujibu wa falsafa ya utoa (stoism), kutawala siku yako kunamaanisha kutawala, mawazo matendo na mitazamo yako bali si kujaribu kutawala kila kitu kinachotokea. Baadhi ya mafundisho muhimu kutoka kwa wanafalsafa wa Ustoa ni kama yafuatayo; Anza siku yako kwa kusudi. Unapoamka asubuhi jiulize, ‘ leo nitakuwa mtu wa aina gani?’ Fanya jambo moja… Continue reading Njia Ya kuweza Kuitawala Siku Yako.

Jinsi Ya Kupata Maisha Mazuri Unayotaka Kwenye Maisha (falsafa ya Ustoa).

Rafiki, karibu leo tunajifunza jinsi ya kuishi maisha ya furaha licha ya kukabiliana na magumu kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwa mujibu wa wanafalsafa njia ya kupata maisha mazuri si kwa kulazimisha matokeo, bali kwa kujenga tabia na kufanya yaliyo ndani ya uwezo wako. Mambo ya kuzingatia ili kuishi maisha mazuri ni kama yafuatayo:… Continue reading Jinsi Ya Kupata Maisha Mazuri Unayotaka Kwenye Maisha (falsafa ya Ustoa).

Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Utegemezi Mkubwa Wa Familia.

Rafiki karibu kwenye siku ya leo tunajifunza jinsi ya kuepuka utegemezi mkubwa kutoka familia na watu wa karibu. Familia haihitaji mafanikio ya mmoja kama nyenzo ya kufanya bidii maishani bali ni utegemezi mkubwa ambao huchosha kiakili na watu hutoa huku wakiwa na maumivu ndani yao. Baadhi ya mambo ya kufanya ili kuondokana na utegemezi huu… Continue reading Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Utegemezi Mkubwa Wa Familia.