Rafiki tuifanyie kazi mambo haya na tutazidi kuwa bora kila siku kwenye maisha yetu. Rafiki yako, Maureen Kemei. kemeimaureen7@gmail.com
Month: July 2025
Umuhimu Wa Kupitia Magumu Kwenye Maisha.
Rafiki yangu mpendwa dunia inakwenda kwa namna yake yenyewe hivyo matamanio yetu inaweza isiende kama tunavyotarajia. Hapa kuna njia tano za kutuwezesha kukabiliana na magumu kwenye maisha. Hatua ya kuchukua, rafiki jambo lolote linapotokea jiulize ni zuri au ni baya, naweza kuliathiri au siwezi kama huwezi achana nalo. Rafiki yako, Maureen Kemei.