Rafiki mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kujifunza kuhusu namna ya kuweka bajeti ni jambo la kutilia maanani kwenye maisha. Rafiki kwanza bajeti ni mpangilio wa kipato na matumizi kwa kipindi fulani. Kuna mitazamo potofu kuhusu bajeti kama kufikiri kuwa bajeti inabana, ni kwa matajiri, kuwa mtu unajitaji kuwa na elimu ya juu sana, kuwa… Continue reading Mambo 8 Ya Kuzingatia Unapotengeneza Bajeti.
Author: Maureen Kemei
Author, psychologist.
Kauli 10 Chanya Ya Mafanikio Ya Kujiambia Kila Siku.
Rafiki yangu mpendwa karibu leo tujitamkie kauli kumi chanya ya mafanikio ambazo zinaelekeza fikra kwenye malengo, zinapunguza mawazo hasi,zinaongeza motisha ya kuchukua hatua, zinaimarisha imani binafsi, na pia zinajenga nidhamu ya muda mrefu. Hizi ni kauli 10 chanya tunazoweza kujitamkia kila siku. Hatua ya kuchukua, kaulia chanya ni kama ramani ya akili, lakini safari yenyewe… Continue reading Kauli 10 Chanya Ya Mafanikio Ya Kujiambia Kila Siku.
Njia Ya kuweza Kuitawala Siku Yako.
Rafiki kwa mujibu wa falsafa ya utoa (stoism), kutawala siku yako kunamaanisha kutawala, mawazo matendo na mitazamo yako bali si kujaribu kutawala kila kitu kinachotokea. Baadhi ya mafundisho muhimu kutoka kwa wanafalsafa wa Ustoa ni kama yafuatayo; Anza siku yako kwa kusudi. Unapoamka asubuhi jiulize, ‘ leo nitakuwa mtu wa aina gani?’ Fanya jambo moja… Continue reading Njia Ya kuweza Kuitawala Siku Yako.
Njia 5 Ya Kujenga Uwezo Wa Kutokukata Tamaa.
Rafiki, najua pia wewe una hamu ya kujua njia za kufanya ili usikate tamaa kwenye safari hii ya mafanikio. Basi usiwe na wasiwasi wowote kwa sababu niko hapa kwa ajili yako rafiki yangu, karibu tujifunze njia hizo ili kamwe tusikate tamaa kwenye maisha. Habari njema ni kuwa watu wengi ambao wamefanikiwa kwenye maisha yao wamekuwa… Continue reading Njia 5 Ya Kujenga Uwezo Wa Kutokukata Tamaa.
Jinsi Ya Kupata Maisha Mazuri Unayotaka Kwenye Maisha (falsafa ya Ustoa).
Rafiki, karibu leo tunajifunza jinsi ya kuishi maisha ya furaha licha ya kukabiliana na magumu kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwa mujibu wa wanafalsafa njia ya kupata maisha mazuri si kwa kulazimisha matokeo, bali kwa kujenga tabia na kufanya yaliyo ndani ya uwezo wako. Mambo ya kuzingatia ili kuishi maisha mazuri ni kama yafuatayo:… Continue reading Jinsi Ya Kupata Maisha Mazuri Unayotaka Kwenye Maisha (falsafa ya Ustoa).
Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Utegemezi Mkubwa Wa Familia.
Rafiki karibu kwenye siku ya leo tunajifunza jinsi ya kuepuka utegemezi mkubwa kutoka familia na watu wa karibu. Familia haihitaji mafanikio ya mmoja kama nyenzo ya kufanya bidii maishani bali ni utegemezi mkubwa ambao huchosha kiakili na watu hutoa huku wakiwa na maumivu ndani yao. Baadhi ya mambo ya kufanya ili kuondokana na utegemezi huu… Continue reading Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Utegemezi Mkubwa Wa Familia.
Mambo 4 yakuzingatia ili kuwa na nidhamu kali ya kuamua na kutenda
Rafiki yangu mpendwa karibu sana kwenye blog hii ya kujifunza kila siku. Nimerudi sasa tusonge mbele na kujifunza kila siku, naamini uko salama sana. Leo tunajifunza kuhusu nidhamu ya kuamua kufanya, tunapopanga kufanya kitu lazima tupange na kufanya. Watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwenye maisha kwa sababu ya kukosa nidhamu hii. Watu wengi hukosa nidhamu kwa… Continue reading Mambo 4 yakuzingatia ili kuwa na nidhamu kali ya kuamua na kutenda
Mambo Makuu 5 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha The Road Less Stupid Na Keith J. Cunningham.
Rafiki Keith J Cunningham ni mfanyabishara mkongwe na mwekezaji. Kitabu chake kinatofautiana na vitabu vingi vya biashara. Kitabu hiki hakitoi njia za haraka za kufanikiwa badala yake kinazungumzia ukweli wa msingi. Watu wengi wanashindwa si kwa sababu hawana akili, bali kwa sababu wanafanya mambo makuu ya kijinga. Lengo kuu ya kitabu ni kutufundisha jinsi ya… Continue reading Mambo Makuu 5 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha The Road Less Stupid Na Keith J. Cunningham.
Siri Ya Kuvuka Vikwazo.
Rafiki yangu mpendwa waliofika mbali waliamua kutokuogopa kushindwa. Wao wanajaribu hata kama wanashindwa. Mafanikio ni ung’ang’anizi. Mambo yakuzingazia ili kuvuka vikwazo. Kile nimejifunza, kujaribu mara nyingi utaishia kwenye kupata matokeo. Kushindwa ni sehemu ya ushindi lakini ukiendelea kujaribu mara nyingi. Rafiki yako, Maureen Kemei
Mambo Muhimu Ambayo Nimejifunza Kuhusu Nidhamu Ya Muda Na Utekelezaji.
Rafiki yangu mpendwa muda una ukomo, muda ni sawa na kuna wanaofanikiwa na wasiofanikiwa. Kuwe na nidhamu ya muda, weka vipaumbele vyako hicho unachokifanya kinachangiaje kwenye malengo yako. Kama hauwezi kutawala maisha yako hauwezi kufanikiwa . Wengi hawafanyi kwa ufanisi na kuvipa muda vile vyenye vipaumbele. Weka tija kwenye vile vya msingi. Achana na kukimbilia… Continue reading Mambo Muhimu Ambayo Nimejifunza Kuhusu Nidhamu Ya Muda Na Utekelezaji.