54/100. Njia ya kuishinda hofu ni kufanya.

Karibu rafiki, leo tunajifunza mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji, kutoka kitabu cha the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Wametushirikisha maarifa ya kujijengea kujiamini na kuweza kuongea mbele ya wengine kwa kujiamini na kwa mafanikio makubwa. Moja ; njia ya kuishinda hofu ni kufanya. Njia pekee ya… Continue reading 54/100. Njia ya kuishinda hofu ni kufanya.

53/100 . Kutumia tahajudi kuyaelewa maisha.

Karibu, katika kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Tumeona kwamba njia pekee ya kuyaelewa maisha ni kuelewa mateso ambayo tunayapitia. Lakini watu hawpati nafasi ya kuyaelewa mateso wanayopitia kwa sababu hawana udhibiti wowote kwenye akili zao. Wengi wanaruhusu akili zao zizurure hovyo bila… Continue reading 53/100 . Kutumia tahajudi kuyaelewa maisha.

52/100. Maisha siyo hadithi.

Karibu, katika kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Swali kubwa ambalo limekuwa linawasumbua watu tangu enzi na enzi ni nini maana ya maisha? Watu wamekuwa wakijiuliza swali hili na mengine kama mimi ni nani? Niko hapa duniani kufanya nini? Katika kila zama… Continue reading 52/100. Maisha siyo hadithi.

51/100. Mabadiliko ni kitu ambacho hakitabadilika.

Karibu, tujifunze zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kitu pekee ambacho hakitabadilika ni mabadiliko, kila kitu kinabadilika na kitaendelea kubadilika. Na eneo ambalo linaathiriwa sana na mabadiliko ni elimu. Namna ambavyo tumekuwa tukifundishwa na kufundisha imepitwa na wakati. Kufundishwa kwa kukariri kulifanya vizuri… Continue reading 51/100. Mabadiliko ni kitu ambacho hakitabadilika.

50/100. Wakati ujao siyo kama tunavyoona kwenye sinema.

Karibu Katika kujifunza zaidi kuhusu changamoto zinazotukabili karne hii ya 21, kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century, ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kumekuwepo na sinema nyingi ambazo zinaonesha hali itakavyokuwa baadaye. Baadhi ya sinema hizi kama the matrix zimekuwa zinaonyesha nguvu kubwa ya teknolojia kuja kudhibiti na kutawala wanadamu.… Continue reading 50/100. Wakati ujao siyo kama tunavyoona kwenye sinema.

49/100. Habari ya uongo unadumu muda mrefu.

Karibu, katika kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century. Leo tukiwa changamoto ya 16 kati ya 21 ambayo mwandishi Mwana historia Yuval Noah Harari ametushirikisha. Changamoto nyingine kubwa kwenye karne ya 21 imekuwa ni habari za uongo au kama ambavyo imekuwa ikichulikana kama fake news. Imechochewa zaidi na urahisi wa kuzambaa… Continue reading 49/100. Habari ya uongo unadumu muda mrefu.

48/100. Maana tuliyonayo kwenye haki imepitia na wakati.

Karibu Katika kujifunza kwetu kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century, ambapo leo tupo kujifunza changamoto ya 15 kati ya 21. Tumeshirikishwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Dhana ya haki ni changamoto kubwa kwenye karne ya 21,hasa wakati ambapo nguvu ya dini inapungua na teknolojia inakua kwa kasi. Dhana ya haki tuliyokuwa… Continue reading 48/100. Maana tuliyonayo kwenye haki imepitia na wakati.

47/100. Unajua kidogo mno kuliko unavyofikiri.

Karibu, katika kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kwa kuwa tunaishi zama za taarifa ambapo maarifa yanapatikana kwa urahisi, watu wengi wamekuwa waifikiri wanajua sana. Watu wamekuwa wakiamini wanafikiri kwa kina na kufanya maamuzi sahihi. Lakini tafiti zinaonesha huo siyo ukweli. Maamuzi mengi… Continue reading 47/100. Unajua kidogo mno kuliko unavyofikiri.

46/100.Kutambua kivuli cha mfumo wa kidunia.

Karibu, katika kujifunza changamoto ya karne ya 21, leo ikiwa tupo changamoto ya 14. Kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Baada ya dini kushindwa, kutokana na machafuko mengi kuhusishwa na dini, njia bora ya kuendesha nchi na hata jamii imekuwa ya kidunia, kwa kutokuegemea… Continue reading 46/100.Kutambua kivuli cha mfumo wa kidunia.