26/100.Je unafahamu kuwa unaweza fanya asubuhi yako kuwa ya miujiza?

Habari Karibu sana tuendelee kujifunza kutoka kitabu kanuni ya siku ya mafanikio, ambayo imeandikwa na kocha wa mafanikio Dr Makirita Amani. Anatushirikisha kwamba kanuni muhimu tunazoweza kuzitumia kila siku ili asubuhi yetu iitwe ya miujiza. Waswahili husema nyota njema huonekana asubuhi, anasema tukitaka mafanikio lazima tuamke mapema. Kabla siku haijachanganya na kupoteza udhibiti wake, lazima… Continue reading 26/100.Je unafahamu kuwa unaweza fanya asubuhi yako kuwa ya miujiza?

25/100.Je, unafahamu kwamba mafanikio ni kila siku?

Habari Karibu Mwana mafanikio leo tukianza kujifunza kutoka kitabu makini sana cha kanuni ya siku ya mafanikio . Ambacho kimeandikwa na kocha wa mafanikio Dr Makirita Amani. Kocha anatushirikisha kwamba mafanikio haiji tu kwa kustukia, au kufikiria kuamka siku moja kama umetajirika, yaani Kulala masikini na kutarajia kuamka tajiri . Anaeleza kwamba mafanikio huja kwa… Continue reading 25/100.Je, unafahamu kwamba mafanikio ni kila siku?

24/100. Tabia ya sita ;onyesha ujasiri.

Habari Karibu Mwana mafanikio tumalizie leo tabia ya sita, ambayo tumekuwa tukijifunza mfululizo. Brandon Burchard anatushirikisha tabia hizi, kwenye kitabu chake cha high performance habits (how extraordinary people become that way). Baada ya kuwakochi watu wenye mafanikio makubwa. Naamini nasi tukichukua hatua hizi kwa kufanya tabia hizo kila siku, kwa kweli safari yetu ya mafanikio… Continue reading 24/100. Tabia ya sita ;onyesha ujasiri.

23/100.Tabia ya tano ;tengeneza ushawishi.

Habari

Nikukaribishe tuendelee kujifunza kuhusu tabia ya tano leo, kati ya tabia sita, ambazo kocha Brendon Burchard anatushirikisha katika kitabu chake cha high performance habits (how extraordinary people become that way).

22/100.Tabia ya nne ;ongeza uzalishaji (tija).

Habari Karibu katika uendelezo wa kujifunza tabia zinazoweza kutufikisha kwenye mafanikio makubwa. Tukijifunza kutoka kitabu cha high performance habits, (how Extraordinary people become that way) ambacho kimeandikwa na kocha wa mafanikio Brendon Burchard. Leo tunaangazia tabia ya za kijamii. Kundi la pili kwenye tabia sita za mafanikio ni tabia za kijamii, tabia ambazo zinawahusisha watu… Continue reading 22/100.Tabia ya nne ;ongeza uzalishaji (tija).

20/100.Tengeneza nguvu.

Habari Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu cha high performance habits, how Extraordinary people become that way. Kilichoandikwa na kocha Brendon Burchard. Leo tunaangazia tabia ya pili ya kati ya tabia sita ambazo Brandon anatushirikisha, zitakazotuwezesha kufikia ubobezi na mafanikio kwa ujumla, nenda nami taratibu tupate kuielewa tabia hizi ahsante. KUTENGENEZA NGUVU. Mafanikio yako ni matokeo… Continue reading 20/100.Tengeneza nguvu.

19/100.Tabia zitakazotufikisha kwenye mafanikio makubwa.

Habari Nikukaribishe sana rafiki tujifunze tabia hizi zinazoweza kutufikisha kwenye mafanikio makubwa, tukilielewa vizuri na kuchukua hatua. Kwenye kitabu cha high performance habits (how extraordinary people become that way). Brandon Burchard anatushirikisha tabia sita zitakazotuwezesha kufikia mafanikio makubwa sana kwenye maisha yetu. Brandon anatushirikisha tabia hizi kutokana na uzoefu wake binafsi, baada ya kuwakochi watu… Continue reading 19/100.Tabia zitakazotufikisha kwenye mafanikio makubwa.

18/100.Tabia zinazowafisha watu kwenye mafanikio.

Habari Nikukaribishe Mwana mafanikio leo tunaangazia kitabu cha ;High performance habits,how extraordinary people become that way ambacho kimeandikwa na kocha wa mafanikio Brendon Burchard. KANUNI ZA ZAMANI HAZIFANYI KAZI. Watu wengi wamekuwa wakijifunza kanuni hizo za mafanikio, ambazo zote zimejengwa kwenye msingi wa fanya kazi kwa juhudi, penda sana unachofanya, jitume kuliko wengine, kuwa na… Continue reading 18/100.Tabia zinazowafisha watu kwenye mafanikio.

17/100.Hazina ipo kule ulipotoka.

Habari Karibu sana katika uendelezo wa somo letu la kutafuta hazina ya maisha. Tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Santiago alifika chini ya mapiramidi na kuanza kuchimba akitafuta hazina yake, wakati anaendelea kuchimba walikuja watu ambao walimnyang’anya dhahabu aliyokuwa nayo na kumpiga vibaya. Baada ya kugundua hakuna kitu kingine cha thamani… Continue reading 17/100.Hazina ipo kule ulipotoka.